GET /api/v0.1/hansard/entries/1041777/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1041777,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041777/?format=api",
"text_counter": 1333,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante Bw. Spika. Kwa upande wa mashtaka, kuna stakabadhi zimetolewa hapa. Ingekuwa vizuri kama wanaweza kufafanua zaidi, kwa upande wa mashtaka. Je, yule aliyeshtakiwa Bw. Gavana, alipewa nafasi ya kusikizwa? Kama alipewa nafasi hiyo, je alipopeleka stakabadhi zake zilichukuliwa ama hazikuchukuliwa?"
}