GET /api/v0.1/hansard/entries/1041778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1041778,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041778/?format=api",
    "text_counter": 1334,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kwa upande wa gavana, je alipewa nafasi hususan na Kaunti kuweza kupeleka hizo stakabadhi? Na hatimaye kupewa fursa nzuri sana ndani ya Bunge la Kaunti kujitetea kama hivi walivyojitetea hapa. Nafikiria pande zote mbili wangefafanua, ingekuwa vizuri kwetu sisi. Asante."
}