GET /api/v0.1/hansard/entries/1041876/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1041876,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041876/?format=api",
    "text_counter": 1432,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante, Bi. Naibu Spika. Hakuna makosa yeyote kwa wakili Nyamu kutupatia sheria zilizowekwa hapo mbeleni ambazo zinaweza kuweka ushawishi mwema kwa Bunge letu la Seneti kufikia uamuzi wa haki. Sioni shida yeyote, Anaweza kuwapatia stakabadhi hizo akiendelea kuongea ili wazipitie. Sio lazima asome yote, lakini pale mahali ambapo alikuwa anataka kusema. Aende kwa ile aya ambayo anataka kusema aiseme, aiwache hivyo, apatie mwenzake aifafanue tu kidogo alafau awachie hapo. Hii ni kwa maana wakati mwengine tunaweza kupita mpaka. Asante, Bi. Naibu Spika."
}