GET /api/v0.1/hansard/entries/1041947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1041947,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041947/?format=api",
"text_counter": 1503,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Harrison Kinyanjui",
"speaker_title": "The Counsel for the Nairobi City County Governor",
"speaker": null,
"content": "Madam Deputy Speaker, in reference to the question asked by Sen. Madzayo, I beg to have a rejoinder in Kiswahili. Swali ambalo Sen. Madzayo ameuliza ni muhimusana. Tegemeo kwa Seneti ambayo ina heshima ni kwamba utaratibu wa sheriautafuatwa kabla Gavana hajang’atuliwa kutoka kiti ambacho aliteuliwa kulingana nautaratibu wa sheria. Tegemeo la wakaazi wa Nairobi ni kuwa sauti yao itasikika."
}