GET /api/v0.1/hansard/entries/1041948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1041948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041948/?format=api",
"text_counter": 1504,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sen. Madzayo akaagiza kuelezwa na Bunge la Kaunti ya Nairobi: ‘Je, mlitekeleza wajibu wenu kulingana na utaratibu wa sheria au mnatueleza twendelee kumg’atuaGavana wa Mji Mkuu wa Nairobi kiholela?’ Shahidi ambaye angethibisha ukweli wa maswala ambayo Waheshimiwa wa Seneti hii waliagiza na kuuliza ni Spika wa Kaunti ya Jiji la Nairobi. Hakuitwa. Bunge laKaunti ya Nairobi badala yake wakamwita mtekelezi wa Mswada. Je, yeye alitimiza agizo la sheria? Je, mkaazi wa Nairobi ambaye anapaswa kuhusishwa katika utaratibu huu alihusishwa? Hakukuwa na uhusishwaji wa Umma,"
}