GET /api/v0.1/hansard/entries/1041952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1041952,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041952/?format=api",
"text_counter": 1508,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Je, Maseneta Waheshimiwa mkiwa hapa mmeridhika? Hakuna ubainifu wa utaratibu wa sheria kufuatwa ambao umemakinika kwa kuwa utakuwa ni ushahidimkamilifu wa nyinyi kumg’atua gavana wa Nairobi. Nawasihi muangalie ushahidi huo na mkiridhika ya kwamba umekosekana, hamna kamwe kutelekeza ombi kama hilo. Ninadhani nimejibu Seneta Madzayo. Kwaheshima kubwa aliagiza ajibiwe."
}