GET /api/v0.1/hansard/entries/1041966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1041966,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041966/?format=api",
    "text_counter": 1522,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Harrison Kinyanjui",
    "speaker_title": "The Counsel for the Nairobi City County Governor",
    "speaker": null,
    "content": "ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) lalama yakwamba huyu MCA kuna pesa za Kaunti ambazo alikuwa asafiri aende Dubai naakakubali. Hakusafiri kwenda Dubai. Gavana akaagiza uchunguzi ufanywe, lakini sikumbili baadaye akavamiwa. Hakupewa Ushahidi. Hakupewa nafasi ya kusikizwa.Hakupewa majina ya MCAs waliopiga kura. Hivi leo, juu ya jitihada zake akasema naakaaigiza mimi staki kuwa mlafi wala mlaghai."
}