GET /api/v0.1/hansard/entries/1041973/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1041973,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1041973/?format=api",
    "text_counter": 1529,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Sen. Madzayo, wakati ule, jina la huyu MCA lilikuwa limepelekwa kwa Idara ya DCI na gavana. Hapo awali, gavana alishuhudia pesa nyingi ambazo alikuwa ameelikwaili atumie pesa za umma na wao, lakini gavana alikataa. Sasa ikawa hii hojaumeidhinishwa dhidi yake. Katika haraka ile, akajikuta kama amepigwa na kimbunga.Hapewi ushahidi. Hamna ushahidi."
}