GET /api/v0.1/hansard/entries/1043200/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1043200,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043200/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Katika Kifungu cha 31, Sports Tribunal ama jopo la kusimamia masuala ya kesi za michezo limepewa uwezo wa kuangalia na kusikiliza kesi ambazo zinahusiana na ukiukaji wa sheria hii ya anti-doping . Hii ni muhimu kwa sababu masuala kama haya mara nyngine inabidi yapelekwe katika taasisi za kimataifa kama vile Court ofArbitration for Sport (CAS) Louisiana, Ufaransa, ambayo ni ghali. Vilevile sisi kama Wakenya hatuna uwezo wa kuchukua mawakili kwenda kusikiliza kesi kama hizo."
}