GET /api/v0.1/hansard/entries/1043206/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1043206,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043206/?format=api",
"text_counter": 178,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, tumeona hii sheria inawalenga wana michezo ambao wanacheza michezo moja kwa moja. Hata hivyo matatizo yako pia katika hizi federation zetu za michezo. Ukiangalia, labda inayofanya kazi ya kuonenkana ni Athletics Kenya pekee. Ukiangalia kwa mfano, Football Kenya Federation ina matatizo chungu nzima."
}