GET /api/v0.1/hansard/entries/1043207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1043207,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043207/?format=api",
"text_counter": 179,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Timu zetu zinazokwenda katika nchi za kimataifa kucheza michezo kama vile juzi Gor Mahia, walienda Algeria wakafungwa mabao sita kwa bila. Walienda bila kocha ambaye anasaidia timu ile kujiandaa kwa michezo ya kimataifa kama hii. Baada ya kuipitisha sheria hii, kuna haja ya kurejelea Sports Act. Tuangalie ni vipi tunaweza kuwasaidia wanamichezo wetu ili wasiteseke mikononi mwa walaghai ambao wanatumia f ederatio n kama vitega uchumi vyao binafsi. Bw. Spika, tukiangalia hapo nyuma, juzi tulipokuwa na kura ya Football Kenya"
}