GET /api/v0.1/hansard/entries/1043211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1043211,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043211/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "ambayo ililetwa ili kukuza michezo. Je, imetumika vipi mpaka sasa kuinua michezo? Kwa nini timu zetu kama hizi zinazoshiriki katika michezo ya kimataifa--- Kwa mfano, juzi Gor Mahia walipokuwa wanaenda Algeria, walikuwa na shida ya kupata tikiti za ndege kuenda kukaa kule kwa siku tatu ama nne kuhakikisha kwamba wanacheza mchezo ule. Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Naunga mkono hii sheria ambayo inakusudiwa na hii Anti-Doping Bill. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}