GET /api/v0.1/hansard/entries/1043665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1043665,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1043665/?format=api",
"text_counter": 12,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lungalunga, JP",
"speaker_title": "Hon. Khatib Mwashetani",
"speaker": {
"id": 2163,
"legal_name": "Khatib Abdallah Mwashetani",
"slug": "khatib-abdallah-mwashetani"
},
"content": " Asante Mhe. Spika. Ninakukabidhi Mjumbe mteule wa Eneo Bunge la Msambweni. Pia, nachukua fursa hii kuwashukuru hustlersnation wote na wale wote waliochangia katika shughuli hii ya kumpata Mjumbe huyu ambaye anakuwa mwakilishi wa Msambweni kwa sababu tuliachwa na Mhe. Dori. Jina lake ni Feisal Abdallah Bader Salim. Asante sana, Mhe. Spika."
}