GET /api/v0.1/hansard/entries/1044332/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1044332,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1044332/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono uteuzi wa Kamati ya Kuongoza Ratiba ya Seneti. Kwanza, ningependa kukupa mkono wa tahania. Tuko tayari kuendelea kufanya kazi kuhakikisha kwamba Miswada yote ambayo inakuja katika Bunge hili inachunguzwa na kupitishwa kama inavyohitajika kisheria. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}