GET /api/v0.1/hansard/entries/1044333/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1044333,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1044333/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mwaka uliopita, tulipita milestone kubwa wakati Spika wa Muda, Sen. (Dr.) Mwaura, aliendesha ratiba ya Bunge kwa lugha ya Kiswahili, lugha ya kitaifa. Ni matumaini yetu kwamba, katika mwaka huu, tutakuwa na fursa kama hiyo kuhakikisha kwamba tunakuza lugha ya Kiswahili ili wengi wanaosikiza mijadala katika Bunge hili wapate kujua ni mambo gani yanajadiliwa."
}