GET /api/v0.1/hansard/entries/1044334/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1044334,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1044334/?format=api",
"text_counter": 117,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, kwa Muhula ambao tuko na mambo ya mabadiliko ya Katiba itakayokuja, itakuwa ni muhimu kufanya kazi kwa bidi ili kuhakikisha kwamba Bunge hili halitapata vipindi ambavyo hatuna mijadala ya kuendeleza katika Bunge hili."
}