GET /api/v0.1/hansard/entries/1044400/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1044400,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1044400/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Kwanza najiunga nawe kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa vile tumeweza kurudi kutoka likizo ya Krismasi na mwaka mpya kwa buheri wa afya. Kulikuwa na mambo mengi hatari yaliyotendeka. Tulikuwa na mazishi na wengine kama sisi ambao Mwenyezi Mungu ametupa baraka na huruma ya kuweza kuona mwaka huu tukiwa na afya njema, twashukuru sana. Tunashukuru sana pia vile vile kwa makaribisho yako kwamba tumerudi na wote tukionekana kwamba tuko buheri wa afya. Bw. Spika, nataka kuunga mkono orodha ambayo imepeanwa ya Maseneta ambao watahusikana katika Kamati ya Bunge la Seneti ya kuweza kuendesha ratiba. Nafikiri The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}