GET /api/v0.1/hansard/entries/1047694/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1047694,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047694/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Shukrani, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii. Najiunga pamoja na maseneta wenzangu kutoa rambi rambi zangu kwa familia ya Mzee Haji. Nina imani kubwa kwamba ndugu yangu, Noordin Haji, ataweza kuiweka familia pamoja sisi tukiiombea familia yao wakati huu wa majonzi ili waweze kupita janga hili la kumpoteza baba yao."
}