GET /api/v0.1/hansard/entries/1047695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1047695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047695/?format=api",
"text_counter": 256,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kule nyumbani kwetu kuna msemo kuwa mti mkubwa ukianguka, vifaranga vya ndege, hubabaika kwani havijui vitaenda wapi. Lakini nina imani kwamba familia ya mzee itakuwa pamoja wakati huu mgumu sasa na katika siku zijazo. Mimi na familia yangu tunatoa rambi rambi zetu kwa familia ya Mzee Haji ambaye alikuwa kama babangu. Vile, Mzee Haji alikuwa rafiki na mwandani wangu wa karibu Sana, yapo maneno mengi sana ambayo nilizumgumza na Mzee Haji kama mwandani wangu ambayo yalinipatia faida sana katika kujiimarisha katika Bunge hili la Seneti katika muhula uliopita na wa sasa."
}