GET /api/v0.1/hansard/entries/1047789/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1047789,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047789/?format=api",
"text_counter": 350,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kumuomboleza marehemu Sen. Mohammed Yusuf Haji, ambaye alikuwa Seneta wa Kaunti ya Garissa. Ninampongeza Sen. Orengo kwa kuleta Mswada huu wa kumkumbuka mwendazake Sen. Haji, kwa mchango mkubwa aliyofanya katika Taifa hili. Kwanza akiwa kama afisa wa Serikali ambapo alifanya kazi kama Mkuu wa Wilaya, kisha The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}