GET /api/v0.1/hansard/entries/1047799/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1047799,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047799/?format=api",
"text_counter": 360,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa umahiri na ufasaha mkubwa sana kwa kutoa hiyo taarifa. Nafikiri umejieleza na pia mimi naweza sema kuwa Sen. Halake nyota yako bado inang’aa. Bado hujagonga papo ndipo. Sasa hivi nitampa nafasi Sen. Chebeni."
}