GET /api/v0.1/hansard/entries/1047802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1047802,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047802/?format=api",
    "text_counter": 363,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Seneta anayewakilisha vijana, Sen. Mercy Chebeni. Umezungumza kama mtoto wake na kuelezea kwamba mzee alikuwa pia ni mcheshi kwa tawasifu yako ambayo umetupa. Ila tu kidogo, Mhe. Halake, nafikiri uliguzia kwamba, Sen. Yusuf Haji ndiye alikuwa wa kwanza kutumia jina “ scoop ” lakini kwa Kiswahili. Sasa hivi, nampa nafasi Sen. Pareno Judith."
}