GET /api/v0.1/hansard/entries/1047815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1047815,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1047815/?format=api",
"text_counter": 376,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, sasa hivi ni saa kumi na mbili na dakika hamsini na moja, wakati wa kuahirisha Kikao cha Seneti. Kwa hivyo, Seneti sasa hivi imeahirishwa hadi kesho, Jumatano, tarehe 17 Februari, 2021, saa nane na nusu za mchana."
}