GET /api/v0.1/hansard/entries/1048255/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1048255,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048255/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Mhe. Spika, naomba Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama atakapozungumza na wizara husika aweze kuwaambia wazi kwamba wakija, wasituambie ilikuwa ni mambo ya wizi kwa sababu duka la M-PESA ambalo liko pale ni dogo sana, na hakuna chochote kilichoibiwa. Kwa hivyo, waje watuambie, kulingana na uchunguzi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}