GET /api/v0.1/hansard/entries/1048939/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1048939,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048939/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nampongeza Sen. (Dr.) Zani kwa kuleta Mswada huu unaopendekeza marekebisho katika mashirika haya. Katiba ilipobuniwa mwaka wa 2010, tayari sheria hii ilikuwepo. Marekebisho anayoyapendekeza Sen. (Dr.) Zani ni mazuri ili kuwezesha sheria hii kuambatana na katiba yetu ya 2010."
}