GET /api/v0.1/hansard/entries/1048940/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1048940,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048940/?format=api",
"text_counter": 278,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ukweli wa mambo ni kwamba sheria hii kwa sasa, haizingati serikali za ugatuzi ambazo zinashughulika na vyama vya ushirika. Marekebisho anayapendekeza Sen. (Dr.) Zani ni muhimu kwani italainisha sheria hii na katiba yetu. Kama walivyosema Maseneta wenzangu, vyama hivi vya ushirika vinachangia sana kwa watu wa mapato duni kujumuika na kuleta mapato yao kwa pamoja. Waswahili wanasema kuwa, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}