GET /api/v0.1/hansard/entries/1048941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1048941,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048941/?format=api",
"text_counter": 279,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Sheria hizi zinapendekeza kwamba watu watakaopewa majukumu ya kusimamia mashirika haya wawe wenye tabia, nia na mienendo sawa. Wasimamizi wa vyama vya ushirika wanapaswa kufanya kazi zao kwa ungalifu bila ya kuwa na tamaa au nia mbaya. Mara kwa mara, wakuu wa vyama vya ushirika hupatwa na nia mbaya baada ya kuanza kushughulikia hela ambazo wanachama wameleta kwa pamoja."
}