GET /api/v0.1/hansard/entries/1048942/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1048942,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048942/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Sheria anayopendekeza Sen. (Dr.) Zani, italainisha sheria hii na katiba yetu. Pili, Wakenya wengi wanategemea sana vyama vya ushirika. Kwa mfano, wenye mapato madogo kama wandeshaji boda boda na wachuuzi wengi sokoni. Sheria nzuri ikiwepo, wengi wao watanufaika kwani hakutakuwa na watu ambao wanataka kujitajirisha kwa mali ya wengine bila kutumia sheria."
}