GET /api/v0.1/hansard/entries/1048943/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1048943,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1048943/?format=api",
    "text_counter": 281,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Jambo lingine ni kwamba watu wanaofanya biashara moja wataweza kujuana zaidi. Makundi ya wanabodaboda, wachunaji wa majani chai na wengine wa vyama vya ushirika watauza mazao yao pamoja. Kwa hivyo, itakuwa vizuri kuwa na sheria zitakazofuatilia mambo yatakayokuwa yakitendeka. Nampongeza Sen. (Dr.) Zani kwa kuleta Mswada huu. Hiyo inamaanisha kwamba Katiba yetu pamoja na Sheria ya Vyama vya Ushirika vizingatie kaunti zetu ambazo tunawakilisha. Asante Bi. Spika wa Muda."
}