GET /api/v0.1/hansard/entries/1049125/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1049125,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049125/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "kuhakikisha ya kwamba wameweza kufanya ukulima wao ili kujiendeleza na kujimudu katika maisha ya leo. Kwa haya, ni wajibu wa Serikali kuhakikisha wakulima wa sehemu zote wamefaidika, hususan Wapwani, nikiamini pakubwa kwamba wakulima wa Pwani wameachwa nyuma kwa kutosaidiwa na Serikali katika swala nzima la ukulima. Ahsante."
}