GET /api/v0.1/hansard/entries/1049579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1049579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049579/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kupitia kwa Kanuni za Kudumu Nambari 44(2)(c), naomba Jawabu kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira kuhusiana na mjengo unaondelea sehemu ya Forodhani, Old Town na majengo ya maghorofa yanayokusudiwa katika eneo la Buxton, yote yakiwa katika eneo la Mvita. Kipengele cha Tano cha Kanuni ya 12 katika Ratiba ya Tatu ya Sheria za shirika la National"
}