GET /api/v0.1/hansard/entries/1049581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1049581,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049581/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(NEMA) kinakubali ripoti ya athari ya mazingira kwa jambo lolote linaloathiri mazingira na binadamu. Kwa sasa, mipangilio hii inaathiri wakaazi wa maeneo hayo, ikiwemo ugurushaji na majumba jirani kuathirika. Kupitia hayo, ningeomba masuala matatu: (1) Je, ripoti hii ya NEMA ilifanywa kweli katika sehemu hizi? (2) Je, wakazi walijulishwa wakati NEMA ilipokuwa inafanya ripoti hii na ni lini maana wakaazi wenyewe hawakuhusishwa katika eneo la Old Town wala Buxton? (3) Je, Wizara itachukua hatua gani kwa wale maafisa husika ambao hawakufuata sheria kutoka shirika la NEMA?"
}