GET /api/v0.1/hansard/entries/1049844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1049844,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1049844/?format=api",
"text_counter": 50,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13156,
"legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
"slug": "mutula-kilonzo-jnr"
},
"content": "Bw. Spika, Seneta ambaye anazungumza anaihada Bunge hili. Hii ni kwa sababu, Kamati Maalum ya MES ilikuwa na wanachama tisa. Kura ambazo zilikuwa za “ndio” zilikuwa mbili. Yule ambaye anazungumza, yeye mwenyewe hakuipigia kura. Je, ni haki kwake kutushutumu sisi ambao tuko hapa ilhali yeye mwenyewe hakuipigia kura?"
}