GET /api/v0.1/hansard/entries/1050227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1050227,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1050227/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Zani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13119,
        "legal_name": "Agnes Zani",
        "slug": "agnes-zani"
    },
    "content": "bidhaa ya mwenzako halafu humrejeshei, utaulizwa mahali umepeleka bidhaa hiyo. Inapaswa iwekwee mahali fulani ili mwenye bidhaa hiyo aweze kupewa baadaye. Nashukuru kwamba Sen. Madzayo amelileta jambo hili hapa. Nina hakika kwamba huyu mama Kadzo Karisa Kalu, si yeye pekee ambaye ameathirika. Pengine pia kuna wengine ambao wamepata shida kama hizi. Kwa hivyo, hizi shida ziangaliwe kwa urefu na mapana ili mambo kama haya yasiregelewe kiholelaholela, hapa na pale, wakati wowote ambapo watu wengine wangependa ifanyike. Asante."
}