GET /api/v0.1/hansard/entries/1050243/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1050243,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1050243/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "kutolewa na askari mara moja, askari walio na furaha ya kupiga watu risasi, triggerhappy police officers, ni jambo ambalo linatendeka kila siku. Hivi majuzi, tafakari zetu hazijatulia, sehemu ya Eastleigh, mama alikua ameketi na watoto wake vizuri sebuleni katika nyumba yake iliyo floor ya tatu au ya nne. Lakini askari aliyekua anatembea chini alitoa bastola akapiga risasi juu kisha ikamuua mtoto wa miaka sita au saba aliyekua anaendea shule alipokua akicheza na ndugu zake katika"
}