GET /api/v0.1/hansard/entries/1050511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1050511,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1050511/?format=api",
    "text_counter": 74,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kieni, JP",
    "speaker_title": "Hon. Kanini Kega",
    "speaker": {
        "id": 1813,
        "legal_name": "James Mathenge Kanini Kega",
        "slug": "james-mathenge-kanini-kega"
    },
    "content": "ukigundulia mapema, unaweza kutibiwa. Kwa hivyo, hili ni jukumu tunalopeleka kwa serikali za kaunti kuhakikisha kuwa wako na vituo mbadala vya kuangazia ugonjwa huu. Kwa hayo machache, ningependa kutoa mkono wa buriani kwa familia ya rafiki yangu mwendazake Wakapee. Ahsante Mhe. Spika."
}