GET /api/v0.1/hansard/entries/1050626/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1050626,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1050626/?format=api",
"text_counter": 189,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mosop, JP",
"speaker_title": "Hon. Vincent Tuwei",
"speaker": {
"id": 13436,
"legal_name": "Vincent Kipkurui Tuwei",
"slug": "vincent-kipkurui-tuwei"
},
"content": "Wiki mbili ni mbali sana. Kama ingewezekana, tupate jibu kwa wiki moja. Ni hatia kwa nchi na vilevile kibalozi ulimwenguni kwa Balozi kupokelewa kwa nchi nyingine bila nyaraka ambazo zimeidhinishwa rasmi na Bunge. Hili ni jambo ambalo litatupa sura mbaya kama nchi, iwapo mabalozi watachaguliwa kwa njia ambayo haifai. Ni ombi langu kuwa jambo hili lipewe muda mfupi ili tumalize mambo haya kwa wakati huu."
}