GET /api/v0.1/hansard/entries/1051229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1051229,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051229/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Shukrani, Bw. Spika. Hata mimi ninashangaa ni kwa nini Sen. Halake ameniingilia katikati. Sijui kama amekielewa Kiwahili changu. Inafaa katika Hoja kama hii unakuwa wazi kwa kila jamiii. Hatuongei habari za Wazungu pekee maanake hata ndani ya nyumba tunajua akina baba wengine hubaka watoto wao. Kwa hivyo, jambo hili si la mzaha."
}