GET /api/v0.1/hansard/entries/1051885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051885,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051885/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Ninamsikiza Seneta wa Makueni kwa makini sana. Anayoyaseme ni kama ananugunika. Hasemi ni hatua zipi walimchukulia Waziri walipomwita akakosa kuja mbele ya Kamati ilhali ni mwanakamati hii. Sina shida na Sen. Sakaja kwa sababu yeye si mwanachama wa Kamati hiyo. Lakini, Seneta wa Makueni, Sen. Mutula Kilonzo Jnr., nimemsikia akigugunika kuwa Waziri hakukuja mbele yao. Je, ni hatua gani walichukuwa kama Kamati ndio nasitujue ni hatua gani zaidi zinatafaa?"
}