GET /api/v0.1/hansard/entries/1051887/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051887,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051887/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Nitamjibu ndugu yangu, lakini angesubiri kwanza nimalize mazungumzo yangu. Hii ni kwa sababu ningempa hatua ambazo tumeziweka katika mikakati hii. Lakini kwa sababu ameuliza, na niendelee kuzungumza na kizungu na si Kiswahili. Mwenyekiti wa Kamati hii---"
}