GET /api/v0.1/hansard/entries/1051889/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051889,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051889/?format=api",
    "text_counter": 126,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mutula Kilonzo Jnr.",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13156,
        "legal_name": "Mutula Kilonzo Jnr",
        "slug": "mutula-kilonzo-jnr"
    },
    "content": "Umenipatia nafasi. What a nice one. Mwenyekiti wa Kamati, Sen. Kibiru, amezungumza hapa kwa urefu kuhusu vile ambavyo tumepata shida na Waziri ambaye anasimamia fedha kutokuja mbele ya Kamati yetu. Hatua imechukuliwa kwamba wakati tunazungumzia Division of Revenue, tutakuwa na mazungumzo ya kindani kuhusu ni kwa nini anapuuzilia Kamati ya Seneti na hata yule ambaye alikuwa hapo mbeleni, hakuna mmoja wao ambaye aliona umuhimu wa kuja katika Kamati ya Seneti. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}