GET /api/v0.1/hansard/entries/1051931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051931,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051931/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana. Umeongea kwa simanzi nyingi kuhusu utumwa wa madeni. Maswala haya nilikuwa nina yazungumzia mwaka wa 2014. Sasa ninayasikia hapa. Kwa hivyo, ninaona kwamba yale niliyosema yameanza kutimia. Sasa hivi ninampa nafasi Kiongozi wa walio Wachache, Sen. Orengo."
}