GET /api/v0.1/hansard/entries/1051963/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051963,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051963/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa kujieleza kwa ufasaha. Umeweza kundeleza falfasa za chama chako kuhusu uchumi bora. Lakini wacha nikukumbushe kwamba kinara wa chama chako aliwahi kuwa Waziri wa Fedha wakati mmoja. Sitaki kutaja mwengine, lakini uchumi wetu wa Kshs100 bilioni hauwezi ukakithi mahitaji ya wish list, kwa sababu sasa hivi tunaendelea kutokomea. Huo ni ukweli. Sen. Kibiru, tafadhali njoo hapa tuzungumze kudogo. Kuna Maseneta watatu waliobaki. Tafadhali, ninaomba mzungumze kwa dakika tano ama sita. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}