GET /api/v0.1/hansard/entries/1051975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1051975,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051975/?format=api",
"text_counter": 212,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaura",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": " Asante sana, Sen. Halake, kwa kuzungumza kwa weledi kuhusu development corruption ambayo inaitwa maendeleo fisadi ambayo yamebobea sana. Watu wanajilimbikizia mali kupitia miradi ya miundo mbinu au miundo msingi. Sasa hivi nitampa nafasi Seneta wa Kitui, Sen. Wambua. Nilikuwa kule wakaniambia wewe ndiye Mbunge wa kwao. Kwa hivyo, una nafasi."
}