GET /api/v0.1/hansard/entries/1051986/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1051986,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1051986/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana, Sen. (Eng.) Hargura. Wakati mwingine tunapozungumza hapa Bungeni, tuna mawaidha mazuri lakini kwa kweli, sijui kama yanafuatiliwa. Hata hivyo, jukumu letu ni kuwasilisha maoni ya wananchi kwa manufaa ya nchi. Sasa hivi ninamwita Mwenyekiti ajibu."
}