GET /api/v0.1/hansard/entries/1052194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1052194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1052194/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Mswada huu wa Mhe. King’ara utaweza kutupunguzia matatizo makubwa sana. Hili swala la ardhi halitakuwa donda sugu kwa sababu limepata suluhisho la kudumu la kisheria, na sio ile ya kubambanya bambanya. Kwa hayo machache, nimeeleza nataka kumpongeza Mhe. King’ara wa Ruiru kwa kuja na Mswada huu. Tunaunga mkono. Mimi mwenyewe binafsi kama Mbunge wa Jomvu, naunga mkono."
}