GET /api/v0.1/hansard/entries/1052247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1052247,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1052247/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13287,
        "legal_name": "Kassim Sawa Tandaza",
        "slug": "kassim-sawa-tandaza"
    },
    "content": "kujenga afisi ya Chifu Kwambani ambayo imekaa pale kwa zaidi ya miaka 20 lakini sasa hivi kuna bwenyenye amekuja na kuweka ua pale akidai ile ardhi ni yake kibinasfi. Natoa pongezi. Mswada huu uungwe mkono na upitishwe ili mali ya Umma ipate kutetewa vilivyo. Asante sana."
}