GET /api/v0.1/hansard/entries/105346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 105346,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/105346/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Sikutaka kujua kama Serikali itatoa usalama wa kutosha kwa wale wanaopinga Katiba Kielelezo. Bali nilitaka Waziri Mkuu aeleze Bunge hili kama Serikali imetoa vitisho kwa vyombo vya habari dhidi ya kuwapa nafasi ya kutosha wale watu wanaoipinga Katiba kielelezo kutoa hisia zao. Ninataka ufafanuzi juu ya jambo hili kutoka kwa Waziri Mkuu."
}