GET /api/v0.1/hansard/entries/1053937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1053937,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1053937/?format=api",
"text_counter": 143,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Mheshimiwa Naibu Spika, nilipopata jawabu hii jana, niliwasiliana na familia. Nasikitika kuwa dadangu amepewa karatasi asome lakini sivyo ilivyo. Kwanza, majina yaliyo hapa si yale niliulizia. Pili, ikiwa ni wizi, tujaribu kuwaza. Fedha ambazo zinazunguka katika duka lile hazipiti hata Ksh20,000. Watu waliingia na AK-47 kuiba kutoka kwa duka ndogo sana la M-PESA."
}