GET /api/v0.1/hansard/entries/1054571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1054571,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1054571/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nyali, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": " Shukrani sana Mhe. Spika. Hili ni Bunge la heshima. Ni mahala ambapo sheria ya taifa inaundwa. Ukiona Wabunge wakizungumza kwa hamasa na hasira, ni kwa sababau Bunge hili limeanza kudharauliwa na baadhi ya Mawaziri katika Serikali. Nimesikia Wabunge wakisema ya kwamba kila mara wanapoleta masuala yao mbele ya Wizara, hawasikizwi kwa sababu tumedharauliwa. Wizara mbili zinazo matatizo sana ni ya Usalama wa Ndani na Wizara ya Uchukuzi."
}